Nyavoregwa
Senior Member
- Sep 17, 2021
- 118
- 325
Kenya wanauza bei ngapi?Msaada nimeipenda hii pikipiki pichani nahitaji kuinunua nchi jirani ya Kenya nahitaji kujua ushuru wake unagharimu kiasi gani hadi usajiri,maana nimeingia kwenye app ya TRA haina option ya kuangalia ushuru wa pikipiki ni magari tuView attachment 2782386
Sh 680,000/= sawa na sh milioni 11 za hapa bongoKenya wanauza bei ngapi?
Duh aisee parefu hiviSh 680,000/= sawa na sh milioni 11 za hapa bongo
Bei ya used crownDuh aisee parefu hivi