Toyota Prado ya mwaka 2014 kwa dola 13,000....naona kama ni bei ndogo sana kulingana na bei za Prado zilivyo,ata TRA watakupa mahesabu mengine kabisa,maana kwa hiyo bei at toyota Harrier ya mwaka huo ni ngumu kuipata.Ila kama gari halina original papers hizo ndizo bei zake,maana kama nilivyoeleza mwanzo wafanyabiashara wakubwa wa magari Japan na Dubai ni Wapakistani hivyo wanawezakukuandalia gari kulingana na bei yako...lakini kwa bei hiyo..