Ushuru una-deepend vitu kadhaa, kitu cha kwanza ni gar ya mwaka gani, pia axle configuration ya iyo gari pamoja na aina ya gari. Lakini hivyo nilivyotaja hapo juu, mwaka pamoja na axle configuration ndivo vinavyo-determine sana bei ya tipper. 4x2 ushuru wake ni mdogo ukilinganisha na 6x2, 6x4, 8x2, na 8x4. Kwa ku-simulate kiasi speciefiec cha ushuru ingia kwenye tax calculator ya TRA
Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System ingiza details za gari yako unataka kununua kisha utapata estimates za ushuru.