Ushuru wa Toyota alphard

Ushuru wa Toyota alphard

analgesic

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
719
Reaction score
1,112
Wanadau nataka kuagiza gari aina ya Toyota alphard 2002, sasa kwenye mtandao wa tra ushuru ni kama 6.5m, je kwa wenye uzoefu wa kuagiza kutoka Japan je huu ushuru huwa unabaki hivyohivyo au unabadilikaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kwny TRA calculator Alphard yako ina model codel ipi maana ziko aina kama 10 pale za Alphard zimeorodheshwa,ukichagua sio hapo ndipo shughuli inapokua pevu.
 
Wanadau nataka kuagiza gari aina ya Toyota alphard 2002, sasa kwenye mtandao wa tra ushuru ni kama 6.5m, je kwa wenye uzoefu wa kuagiza kutoka Japan je huu ushuru huwa unabaki hivyohivyo au unabadilikaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kanunue pale mkabala na International Eye Center (nadhani Victoria) mwenge. You can get for up to 18 Alphard nzuri kabisa, achana na kupoteza muda kuagiza,
 
Kuna faida 100 kidogo ukiagizia mwenyewe kuliko kununua showrooms. Kuna ujanja mwingi sana showrooms.
Hebu funguka wanafanyeje, maana mi huwa siagizi huwa nachukua show room tu na gari zangu hazijawahi sumbua
 
Kitu kilichonipa wasiwasi gari za ndani nyingi zina milage ndogo sana unakuta gari ya 2002 milage hata 80000 haifiki wakati nikiangaria beforwad,SBT na kwingine siyaoni, je hawa ndugu wao wananunua wapi?
Kuna faida 100 kidogo ukiagizia mwenyewe kuliko kununua showrooms. Kuna ujanja mwingi sana showrooms.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna faida 100 kidogo ukiagizia mwenyewe kuliko kununua showrooms. Kuna ujanja mwingi sana showrooms.

Mtu analipwa buku 7 huyo atajulia wapi mambo ya online?

Mtoa mada vuta machine from Japan na sio kwny showrooms hapa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtu analipwa buku 7 huyo atajulia wapi mambo ya online?

Mtoa mada vuta machine from Japan na sio kwny showrooms hapa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Niombe radhi haraka sana, mi ni mzalendo wa nchi
 
Back
Top Bottom