Anh10Pale kwny TRA calculator Alphard yako ina model codel ipi maana ziko aina kama 10 pale za Alphard zimeorodheshwa,ukichagua sio hapo ndipo shughuli inapokua pevu.
Kama CIF yako haitazidi $2357 then itachezea hapo hapo kama calculator yao inavyosema.
Nenda kanunue pale mkabala na International Eye Center (nadhani Victoria) mwenge. You can get for up to 18 Alphard nzuri kabisa, achana na kupoteza muda kuagiza,Wanadau nataka kuagiza gari aina ya Toyota alphard 2002, sasa kwenye mtandao wa tra ushuru ni kama 6.5m, je kwa wenye uzoefu wa kuagiza kutoka Japan je huu ushuru huwa unabaki hivyohivyo au unabadilikaga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kanunue pale mkabala na International Eye Center (nadhani Victoria) mwenge. You can get for up to 18 Alphard nzuri kabisa, achana na kupoteza muda kuagiza,
Hebu funguka wanafanyeje, maana mi huwa siagizi huwa nachukua show room tu na gari zangu hazijawahi sumbuaKuna faida 100 kidogo ukiagizia mwenyewe kuliko kununua showrooms. Kuna ujanja mwingi sana showrooms.
Kuna faida 100 kidogo ukiagizia mwenyewe kuliko kununua showrooms. Kuna ujanja mwingi sana showrooms.
Kuna faida 100 kidogo ukiagizia mwenyewe kuliko kununua showrooms. Kuna ujanja mwingi sana showrooms.
Niombe radhi haraka sana, mi ni mzalendo wa nchiMtu analipwa buku 7 huyo atajulia wapi mambo ya online?
Mtoa mada vuta machine from Japan na sio kwny showrooms hapa?
Sent from my iPhone using JamiiForums