V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,183 Reaction score 1,322 Mar 31, 2015 #1 Wakuu nataka kujikita katika uagizaji wa spare za magari madogo na makubwa, tatizo sielewi hawa jamaa wa TRA wanachaji vipi kama unaleta used spare parts
Wakuu nataka kujikita katika uagizaji wa spare za magari madogo na makubwa, tatizo sielewi hawa jamaa wa TRA wanachaji vipi kama unaleta used spare parts
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 24,893 Reaction score 47,768 Oct 22, 2017 #2 Ulishapata majibu