Misuli_Magufuli Member Joined Dec 23, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Jan 4, 2016 #1 Kuna mmoja wenu hapa alishawahi kupokea mizigo ya bei rahisi kutoka nje ya nchi na wanaokusanya ushuru hawakuhitaji makato?Je, kama hivo mizigo ilihitaji kulipiwa kiasi gani mpaka wanaokusanya ushuru wasihitaji malipo? Last edited by a moderator: Jan 5, 2016
Kuna mmoja wenu hapa alishawahi kupokea mizigo ya bei rahisi kutoka nje ya nchi na wanaokusanya ushuru hawakuhitaji makato?Je, kama hivo mizigo ilihitaji kulipiwa kiasi gani mpaka wanaokusanya ushuru wasihitaji malipo?