Ushuzi waharibu kikao cha bunge la Kenya

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Mjadala mkali juu ya hali ya masoko ulikatizwa ghafla kwa harufu kali ya ushuzi.

Kadhia hiyo haikutokea sokoni ama mtaani, bali ni kwenye ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Homa Bay, Magharibi kwa Kenya.

"Mheshimiwa Spika, mmoja wetu hapa amechafua hali ya hewa," Bw Julius Gaya anaripotiwa kupiga ukelele akiwa kwenye kikao cha Bunge.
 
Kweli hawa jamaa hawaishi vituko aisee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh
 
Ushuzi? Duh! Kumbe Kila Mtu anajamba? kuna watu kwa haiba yao wanaonekana hawajambi !
 
Huyo alie nusa harufu ya mchafuko, naamini kabisa kwamba huo ni mchezo wake maana kwanini hakusema kama pengine pametokea na harufu nzito kutokana na uharibifu wa bomba la maji taka...??
Wa...raji wana matatizo sana aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…