Usiache kula karanga kamwe

Hivi nikikwambia tikiti linaota juu, halioti ardhini.
We utaelewa linaota wapi?
Mzizi wa tikiti uko ardhini na tikiti liko juu ya ardhi-on ground, karanga mizizi ipo ardhini ambako karanga huotea. Sijui niandike kwa kihindu???
 
Daaah wakuu ,karanga mbichi nakula sanaa na napendelea sana kula,ilaa tatizo langu nikila sana, lanzima niende chooni,na napata choo kilaini sanaa mixture kuendesha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…