Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako. Ukiachana na mtu usisuse ila jisahihishe kisha daka chombo tena
Usikubali kuishia njiani kwasababu umeachwa, umeumizwa na mtu kwenye mahusiano yako
Usijione hufai baada ya kuondoka kwake au baada ya kumuondoa kwenye maisha yako Ukaamua kuishilia, kujitenga mahusiano kabisa
Bado unayo thamani ya kufurahia mahusiano na mtu mwingine wala usijione wewe ni mtu wa fungu la kukosa tu na hustahili upendo💕
Ukiachwa jipende na jiongezee thamani uwe mtu na nusu. Utapendwa tu tena wala usiendee kulialia au kuyasusa mahusiano eti uliumizwa.