msafi WCB
Member
- Jan 2, 2020
- 48
- 138
Wanafunzi wa sekondari (O level) hasa wale wanaopenda science msiache Somo la physics kwa shinikizo la mwalimu au bila kujua umuhimu wake.
Walimu wengi hasa wa shule za vipaji wanapenda kushinikiza wanafunzi waache kusoma physics ili wabaki na wale cream ili wasiharibu wastan wa ufauru katika masomo yao (hasa hasa physics).
Wanafunzi kwanza mfahamu kwamba mkipata D ya physics haujafeli hyo tunaita PASS. na ina umuhimu mkubwa kuliko kuikosa kabisa. Bora usome ufeli tu
Wanafunzi wengi wa olevel hawajui sifa za kujiunga na vyuo vya kati vya afya kabla ya kuhitumi. Unakuta mwanafunzi amemaliza form 4 amepata 2 yake safi ya 18 ana ndoto ya kua Nesi anataka kusoma Diploma ya Nursing lakini hajasoma physics na alkua hajui kama usiposoma physics huwezi kujiunga na nursing.
Kozi kama Clinical Medicine, Medical Laboratory science, Nursing, Physiotherapy, Radiography..n.k zina hijati physics na uwe umepata grade D tu.
Mdogo wang wa kike amemaliza mwakajana shule flani ya kipaji pale mji kasoro bahari . Wakati ana ingia form 3 mwalimu physics alimwambia aache physics hali ya kua form two alipata 1 ya point saba akiwa na A zote na B ya physics pekee, visiting day moja nlipokwenda kumuona akaniambia kaka nimeacha physics na akaniambia anaiogopa na hadhani kama atafaulu.... mm nkamuulza ina maana huwezi pata hata D ya physics kwa uwezo wako? Akanijibu anaweza ... Nilienda nae kwa mwalimu na nkahakikisha anarud kusoma physics.. na matokeo ya form 4 amepata B ya physics akiwa na 1 ya 8.
Nmeona niandike hii sababu nimekutana na binti anataka kusoma Nursing amepata 2 ya 18 ila alisoma single science Chemistry ana C bilogy B math D lakini hana physics namuulza sababu anasema mwalimu wa physics alkua ana wa intimidate kwamba physics sio makalio akaamua aache bila kujua madhara yake mbeleni sasa anajuta ina mbidi asome diploma ya pharmacy ambayo hii unaweza soma hatakama huna physics.