Usiamini mitandao: Private Jet ile ilikuwa ya mchongo!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Aisee mjini uje na akili tu. Pia usiamini 100% hii mitandao ya jamii. Watu ni Wasanii Sana.

Ile helikopta (wenyewe waliita private jet) kumbe ni ya kukodi? Huku media zikiripoti tofauti. Stukeni wabongo, mnachezewa akili. Tafuteni pesa, epuken kushobokea watu msiowajua
 
Anaongelewa Lugumi kama sijakosea
Sawa, shukurani. Nilitoka kapa kabisa, kwani si ni huyu huyu tajiri[Lugumi] ambaye ana collection kubwa ya magari na hivi karibuni ametajwa kujenga ghorofa kwa ajili ya watoto wa mitaani? Ila Bongo kila mtu anadai kuwa na 'Exclusives' za mastaa😂😂
 
Ndio huyo huyo
 
Kwani mtu hawezi akamiliki chombo akawa anakitumia binafsi na hapo hapo akakodisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…