Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Kama halali hofu ya nini?Acha kufatilia maisha ya watu
Sawa, shukurani. Nilitoka kapa kabisa, kwani si ni huyu huyu tajiri[Lugumi] ambaye ana collection kubwa ya magari na hivi karibuni ametajwa kujenga ghorofa kwa ajili ya watoto wa mitaani? Ila Bongo kila mtu anadai kuwa na 'Exclusives' za mastaa😂😂
Hatimaye taarifa zimeanza kuja,Unamwongelea yule Lugumi na sakata lake la ufisadi lililomleta Dokta Shika (R.I.P) au kuna LUGUMI mwingine ?
Anakuharibia au anakutangazia baishara? Hilo tangazo la bure kabisa, mkuu. Emu kula chuma hiko!Aisee mbona unaipiga picha chopper yangu nakuipost mitandaoni.
Unaniharibia baishara yangu mkuu.
Wewe hapa unafanya nini, kama si kufuatilia maisha ya watu?Kwanini mnafuatilia maisha ya watu?
Anakuharibia au anakutangazia baishara? Hilo tangazo la bure kabisa, mkuu. Emu kula chuma hiko!
Maisha ya watu kivipi wakati wameweka public na sisi tukiwa walengwa?Kwanini mnafuatilia maisha ya watu?
Rudishia mlango, sauti huwa zinatoa mwangwi
Acha umbeaKama halali hofu ya nini?
Unaacha kuwaona wambea unasingizia wengine.Acha umbea