Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
Watu wakiambiwa kuwa majina yanaunda wanachukulia powa, tanzania ni moja kati ya nchi ambayo wazazi awazingati namna ya kuwapa majina watoto wao, wanaangalia tu namna inavyo sound mdomoni, nchi zilizoendelea bado wanazingatia sana haya mambo, nataka niwape kisa kimoja
Mimi nimezaliwa naitwa ally na jina la ally lina maana nyingi sana ambazo ndani yake kuna kujiamini,kupenda uongozi n.k kuna majina ukimpa mtoto automatic mtoto anakuwa mvivu maybe,
japo maisha na malezi yanaweza kumbadilisha lakini still ndani yake iyo kitu ipo
Kuna majina ndani yake tu kuna uongozi, uchangamfu,kujiamini,ndomaana nadra sana kumkuta ally si jeuri
Lakini nilipofika barehe likazaliwa jina la pada watu wengi wanaonijuwa wanazani hili jina linatokana na pad sababu napenda sana play station (pes) hapana
Jina hili limetoka na neno spaida, spaida ikazaa pada baada ya hapo auto nikajikuta naandika, mashahiri matamu sana, naweza kufreestyl naweza kuandika muziki wa aina yeyote, na ukweli najua mimi naandika vibaya sana kiasi nazani, siku moja msanii yeyote akiimba nilicho kiandika uwo wimbo utakuwa mkubwa sana
Yote yamekuja sababu ya jina la pada, baada ya kukua sasa nikasearch google maana ya neno pada sikumbuki ni kwa kirugha gani lakini maana yake ikawa ni maneno yanayo beba maana nzima ya nyimbo au shahiri
Nina mdogo wangu siwezi mtaja jina lake ila maana ya jina lake ni elimu hata namna ya ufanyaji wake kazi, kwasababu ya kupata kitu flani baada ya hapo afanyi tena ile kazi mentality yake kichwani ni elimu kwamba yeye ndio gentlaman umwambi kitu, na hana elimu
Mifano hii uelewe kwamba japo hatuko perfect, lakini kuna mambo tunaweza fight nayo, kisha tukatengeneza misingi toka mwanzo, usiangalie linavyo sound angalia kwanza lina maana gani?
#Bwanabongo