mkuu,uliposema kasoro MOSHI,nikastuka,maana nina toto la kichaga zuri kweli lakini kwenye bed kwa kweli ni bure hajishughulish kabisaaa,ndipo nilipoamini toto za kichaga bureee,hakuna lolote,labda bussiness tu.
Asante kwa maneno yako matamu najua nimekugusa ndio maana unasema hivyo, jiulize kwanini mnaitwa viburudisho?
Hapo sasa umenena Belinda leo mada ni wanawake ambao kwa njia moja ama nyingine ndio wanaotongozwa na wanaume na kupewa ofa za ushawishi ili kwenda kustarehe nao. siku nyingine nitaandika udhaifu wetu siye wanaume. nilikuona umeingia kwa hasira na kuanza kutaja dadaz, mamaz na mashangazi nikajua umekasirika nikahisi labda nimekugusa. Kumbuka utamaduni wa Kiafrika hauniruhusu kumuongele undani wa dasa, mama yangu na shangazi zangu.Umenigusaje wakati kila mtu anacheza na keyboard?? sawa nimekusoma mzee wa fremu! kwangu mie hata mwanaume kiburudisho..kwenye burudani wote tunaburudishana.. Ila tuiteni majina yoyote mnayotaka na nyie mna yenu kumbukeni!!
Kweli kaka wako bomba na ukimpata mzuri utafurahi la roho yako ila sasa tatizo ndiyo lilelile....ukimalisa funika....mkuu,uliposema kasoro MOSHI,nikastuka,maana nina toto la kichaga zuri kweli lakini kwenye bed kwa kweli ni bure hajishughulish kabisaaa,ndipo nilipoamini toto za kichaga bureee,hakuna lolote,labda bussiness tu.
Kweli kabisa, mwenzio niliwahi kuinuliwa kitandani na kuambiwa niangalie dirishani huku nimefungwa khanga kiunoni nikipewa mambo na kutakiwa kuangali kama basikeli yangu ipo au imeibiwa. siku hizi hakuna kitu kaka.mkuu umenikumbusha mbali..late sixties kinondoni b nyuma ya muslim nilikuwa na binti wa kimakonde original...alikuwa ananiuliza
'' unataka chipidi ya bachikeli au chukuchuku '' akimanisha spidi ya baskeli au tuku tuku..ukisema chukuchuku weee....
siku hizi nadra sana
Hili si kweli niliwahi msikia binti wa mkongeni akiniambia wanaume wa kwao si strong na wajuzi kama wa kule kwetu wakati huo huo mie niliona yeye na wengine wa mkongeni wako vizuri na wa kwetu hawako vizuri.Kuna mtu (mwanamke) aliropoka nadharia moja kwamba "ukiona wanawake wa eneo fulani hawajui mapenzi basi na wanaume wao wako hivyo hivyo-kwamba na wanaume wao ni bure kabisa kitandani". Kwa kuwa mimi ni mwanaume siwezi kuthibitisha hilo, ila kina dada mnaweza kutusaidia hapa kwa kuweka mambo hdharani kuhusu hii nadharia niliyoisikia.
Hivi ni wanawake tu ndo wanaotakiwa kuwaridhisha waume zao?kama hakatiki wewe mme si ukatike?
Yesu wangu! Hivi ntabaki na mbavu kweli leo, mkuu umefika kuwalinganisha viburudisho hivi na fremu, au fenicha za kichina? Mwe mwe mwe mweeeeeeeee! Aisee tegemea mashambulizi ambayo huuwahi hata kuyawaza, we subiria wanakuja sasa hivi!
Ukweli ni kwamba, wanawake nao wanalalamika! Viwango vya wanaume viko chini kupita maelezo.Sasa itakuwaje?Hivi ni wanawake tu ndo wanaotakiwa kuwaridhisha waume zao?kama hakatiki wewe mme si ukatike?
Subiri watakuja kujibu hoja.