Usibabaike na fremu za wanawake

Kweli mkuu, siku hizi yanabaki kupiga mayowe tu, Mara siiiiiiiiiiiiiiiii, haaaaaaaaaa, eeeeeeeeeeeeeeee, oooooooo, hiyoooooo, ya moto, usimpe mtuuuu. Lakini gogo hakuna kujishughulisha.
 
Chai tamu ni wewe unasema, nataka chai yangu iwe na maziwa matupu bila maji, au ya rangi bila maziwa.
Iwekwe sukari vijiko viwili.
Nataka chai yangu "ipikwe", au nichemshie maji, nitaunga mwenyewe...

Siyo mtu unakuja unalalama OHH hajui kupika chai tamu!
 
duu?ya leo kali ilo gogo litakuwa limekudondokea v day,,,,,ila kweli nyumba ndogo ndo maana zinajipatia umaarufu kila kukicha
Kwani hizo nyumba ndogo wanakutana na wanaume? Si hao hao wanawake? Mbaya sana kugeneralize.
 
Hivi mapenzi ni kukata viuno tu na kuonyesha ujuzi kitandani????
Usijali kama wanawake ni magogo, nenda kwa makaka poa wanaojua kukata viuno vizuri.
:eyebrows:
Najua ya kuwa unawapondea wanawake lakini mwisho wa siku utaenda kumtongoza/kumuoa huyohuyo ambaye hajui kukata viuno.

 

Nashukuru Mungu katika hao wanawake ndani yake kuna dada zako, shangazi zako, mama zako na hata rafikizo.
Hivi huu ushauri umeshawahi kuwaambia live yaani ana kwa ana hao wanawake nduguzo au umekuja tu JF kuwachimba mkwara dada za wenzio???
 

Kama wanawake hawafai nenda karukiane na wanaume wenzio.
 

Hawa ni wale wanaume wasiojua kwa nini walizaliwa wanaume.Na ndio wanao ongoza kwa
kulaamika.
 
Reactions: Sal

Kwenda zako huko, acha kudhalilisha dada zangu. aisee kumbe kutaniwa sometime inauma aisee. we ndugu koma kabisa, kenge mkubwa weeeeeeeee!
 

Nashukuru Mungu katika hao wanawake ndani yake kuna dada zako, shangazi zako, mama zako na hata rafikizo.
Hivi huu ushauri umeshawahi kuwaambia live yaani ana kwa ana hao wanawake nduguzo au umekuja tu JF kuwachimba mkwara dada za wenzio???

Kaka mbona hayo maneno lugha ulotumia ni ile ya ile jenda nyingine ile mkuu. Imekaa kimipasho zaidi, duuuuuuuuu! Mtu anaweza akadhani mzee una una ma****u mawili mkuu!
 
yaap, ni kweli brother wanawake wanachojua ni kwamba eti sisi tunatakiwa tushughulike kwa sababu ndio tunaotaka kuridhika tu, wakati sio kweli kabisa.mabinti wote frem tu ukimvua unajuta ni ya nini ulijisumbua.
 
Yaani utoe bia ndio ulalamike hujakatikiwa??sema hao unaochukua unaokota barabaran c wapenzi ila ni machangu,hawapo kwa ajili ya burudani ila kikazi zaidi ukitaka wakatike basi watakutoza ya KUKATIKA kaka weye!!teeh teh teh!teh!unalo wapo mafund tatzo unaokoteza vijike sio wanawake.
 
Reactions: Sal
ukiona mwanamke hakatiki ujue huyo mwanaume kiwango chake ni cha chekechea, ukimpatia mwanamke mwenyewe utashangaa.
 
Reactions: Sal
Wanaume nao hamna kitu tena wa kichaga mhhhhhh sitaki kutia neno! utafikiri ana haraka anawahi migombani bwana.....
 
Kweli kabisa, mwenzio niliwahi kuinuliwa kitandani na kuambiwa niangalie dirishani huku nimefungwa khanga kiunoni nikipewa mambo na kutakiwa kuangali kama basikeli yangu ipo au imeibiwa. siku hizi hakuna kitu kaka.

haaaah haaaah haaah Jf never boring~THE BOSS
 
Nguruwe pitaaaa....sina mkuki mie! Wewe haramu kwangu......sijakuzaa mie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…