Usibabaike na fremu za wanawake

Inategemea sana mkuu, niliwahi kusikia kuwa kuna mmasai alimkasirikia demu aliyempata siku hiyo akisema "...mama yeyoo nalipa wewe pesa sasa kwanini unatorosatorosa?.." Alitaka awe kama gogo
 
Umekutana na fremu za plastiki..halafu kweli kuanzia mama yako, dadaz, shangazi na ndugu zako wa kike wote ni mafremu???!!
Mwanaume kama wewe ni kazi sana, eti uburidishwe na kustareheshwa na mwanamke!
Hujui wajibu wako na wewe ni frame tu ndio maana imekuuma
 
Inategemea makubaliano. Kuna mmasai mmoja aligeuka mbogo kwa kusema "...mama yeyoo mimi nalipa wewe kwanini unatorosatorosa...?" alitaka awe kama gogo
 
Yaani wewe unawaza mapenzi 2!umekosa thread za kupost? Kuna m2 aliyezaliwa anajua hayo mapenzi,.come on..sio kl kabila wanafundishwa hayo mambo..hlf inavyoonekana wewe ni playerboy..n if unayaweza sana hayo mapenzi mfunde huyo mwenzi wako sio kumdharirisha na kuona wanawake wote wako sawa..huna adabu!
 
Reactions: Sal
Mtu akiona paja tu kamaliza
huko kukatikiwa ni wakati gani sasa?
 
Reactions: Sal


Hapo kwenye red! Unaugomvi na wanawake wa kichaga?
 
Aisay mbona mimi hata nakatikiwa na wachagaa tena wanazungusha kuliko wanyamwezi :biggrin:
 
haya mazeeeeeeeeeeeeee napita tu ila biblia pia imesema kwamba mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume kwa kuwa mwanume hakutoka kwa mwanamke bali mwanamke kwa mwanaume, pia mwanaume ni utukufu wa MUNGU duniani na mwanamke yeye ni utukufu wa mwanaume duniani so pls wadada lindeni sana nafasi yenu w
 
hivi wewe simba mkali hebu nikuulize, wanaume wengi sasa hivi ni vikojozi, akiona paja kamaliza, hicho kiuno utamkatia saa ngapi. hebu tupishe hapa na thread yako isiyo na ukweli. au kwa vile huwa tunawasitiri uchafu wenu...? asilimia 75% ya wanaume ni vikojozi. kuna mmoja alileta mada juzi juzi tu hapa ya kulalamika kua siku hizi hamuwajibiki, sasa wewe leo unataka kiuno, cha wapi? wakati sekunde mbili mkojo unakutoka tena hapo ni kama jogoo kabahatika kuwika, maana asilimia kubwa mnashindia michips vumbi na supu za baa jogoo hawiki mpaka aimbiwe, akibahatika ndio mikojo chapachapa. sasa sijui kiuno utakipata vipi.
 

Mwanaume halisi ni yule anayemwelekeza mkewe penye mapungufu .halafu we naye ni fundi au unasubiri kuchomeka tu
 
yaap, ni kweli brother wanawake wanachojua ni kwamba eti sisi tunatakiwa tushughulike kwa sababu ndio tunaotaka kuridhika tu, wakati sio kweli kabisa.mabinti wote frem tu ukimvua unajuta ni ya nini ulijisumbua.

Wakati huwa unapiga kelele hadi unataja majina ya waliokufa kwa kunogewa na utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…