Annie mi nina kiwango kikubwa sana, tena uwezo wangu si wa staili moja kama ulivyosema hiyo staili siye tunaiita baba na mama wewe umeiandika kama simple harmonic (to and from) hapana tumeshaiacha zamani.
Nooo ukisoma mada vizuri utagundua kuwa nimezungumzia mambo mengi sana, ikiwemo la kufundwa ambalo lina-contain mambo mengi kwa pamoja ndani yake yakiwemo ya kukatika, style, kushindwa kujitunza yaani uchafu na maalifa mengine. wanawake siku hizi hawajui..Wewe ndio umekuja na mada ya kukatika, lakini inaonekana ulikuwa unazungumzia style. unatuchanganya.
Duuuuu! eti haiwezekani mwanamke kupata fursa ya kukatika mpaka awe katika style ya baba na mama? ishia hapo hapo utaonekana hujui mapenzi Sangarara, hebu nyamaza maana uwezo wako umeishia hapo.Hakuna style ingine yoyote ile inayompa mwanamke fursa ya kukatika zaidi ya hiyo unayoita baba na mama.
Itabidi nifungue darasa hapa hapa JF ili watu wanufaike maana wengi nimegundua kuwa ni watupu kitandani.Itabidi ufungue darasa