Usibishane na mwanamke

Usibishane na mwanamke

Ni kweli kabisa mbele za watu mke wako akikutukana we kaa kimya ila mkirudi nyumbani hapo sasa ndiyo unamuuliza ulikuwa unasemaje wewe Kiwavi? Hahahaha
 
Aliwezeshwa akaweza

Kumbuka alipewa majibu ya midahalo
 
Ni kweli kabisa mbele za watu mke wako akikutukana we kaa kimya ila mkirudi nyumbani hapo sasa ndiyo unamuuliza ulikuwa unasemaje wewe Kiwavi? Hahahaha
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
umenifunza jambo
 
lakini yule mama clinton yuko strong sana a see katika siasa kwa wanawake na actually aliwakilisha asilimia kubwa ya wanawake na wengi wao walimsapoti sana, namkubali kwa ukakamavu wake wa kusimama na kupangua hojaa..!
 
Mama Anna ngwira je humkubali?
 
Mama Anna ngwira je humkubali?
yule wa ACT wazalendo?, yule mama alikuwa hana shida yani yani anaweza hutubia watu wachache lakini ana confidence yani utadhani anaingia ikulu kesho the same to hashimu rungwe pia, but huyoo mama ameonyesha mfano wa kuigwa ndo mana akapata fans wengi jinsia yake sishangai kama uchaguzi ujao kama hawatampitisha, wengine wa mfano wapo kama Dk Asha rose migiro she is strong women on this planet of us.....
 
Mwanaume hutakiwi kulia lia iliupate kwa kuonewa huruma.
Yule trump ni mpambanaji naalipo zishinda figisu figisu za wakongwe ndani ya chama chake alijua tayari white house inamuhusu
 
Hakuna jinsi kuna T-shirt...anywayz akampikie Bill Supageti
 
Back
Top Bottom