U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,021 Reaction score 1,978 Nov 27, 2016 #1 Jamaa alikuwa anaumwa sana, mkewe akamwita daktari, alipofika akamkuta jamaa kafumba macho; Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa? Jamaa: Sijafa bwana Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu.
Jamaa alikuwa anaumwa sana, mkewe akamwita daktari, alipofika akamkuta jamaa kafumba macho; Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa? Jamaa: Sijafa bwana Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu.
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Nov 27, 2016 #2 [emoji23] [emoji23]
wakusoza JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 628 Reaction score 648 Nov 28, 2016 #3 haichekeshi