Usichague course kwasababu ya boom

usiogope kijana kila mtu ataonja radha ya HESLB

Mambo !! Ni mazitooooo bhana sasa hivi pressure zangu zote ni kwa hao majamaaaa naomba tu nisipate below 80%
 
hapo umesema ki2 mkuu serikali co jinga kutoa jiti kwa baadhi ya koz ikiwa na maana kwamba mbeleni itazihitaj hizo i mean market big up mkuu 4 ur answer
 
veterinary si ipo kwenye priority...lakini unaweza sikia bodi imeishiwa hela kwaio wengine wajitegemee yan..everything is possible even the impossible is possible at times..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…