Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Sikucheka*USICHEKE:*
*Jamaa katoka kanisani kufika home akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu*. *MKE: hee! mume wangu leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati hadi umenibeba juu*?
*MUME:* *aaah!* *wapi Mchungaji amesema tunyanyue matatizo yetu juu MUNGU ayaone!*
.
Hapo sawa!Nimetabasam