tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 403
- 510
Watu wengi hushindwa kufahamu kwa hakika faida za kuwa na website kwa ajili ya biashara zao.Matokeo yake wengi wao hujikuta wakipoteza fursa ya kupata wateja na kujipatia kipato au kukuza biashara zao.
Katika zama hizi ni bora kampuni yako iwe na website kuliko iwe na physical office.Kwa kutegemea aina ya biashara uhitaji wa physical office sio lazima MFano.Kama wewe unauza bidhaa unahitaji physical store kwa ajili ya kuhifadhi vitu pamoja na show room ya kuonesha bidhaa ila kama biashara yako ni ya huduma mfano uhasibu,etc sio lazima kukodi ofisi kubwa inayoongeza gharama za uendeshaji.
Mfano kwa mtu aliyehitimu chuo mwenye shahada ya BIASHARA anaweza anzisha consulting firm ambayo mtaji wake unaweza kuwa ni chini ya TZS Milion moja kama ifuatavyo.Anachohiyaji ni kuwa na website,Computer,Printer,Meza na kiti.Ofisi yake inakuwa hapo anapoishi hata kama ni gheto.Akija Mteja wanakutana kwenye sehemu nyingine ambayo ni more comfortable
Sasa nirudi kwenye mada kuhusu website:
Website inakuwezesha kufikisha taarifa zote muhimu kwa wtu wengi ndani na nje ya nchi
Website inajenga credibility yako na kampuni yako
Website inaongeza thamani ya biashara yako
Website inarahisisha shughuli za mawasiliano na utafutaji wa wateja
Smartweb tumedhamiria kuhakikisha kwamba kila biashara inakuwa na tovuti ndio maana kwa kila mtu atakayenunua domain name kwetu tunampatie Free hosting kwa miaka 3 bure.Mteja atapaswa kulipia domain name yake kwa miaka mitatu tu ambayo ni TZS 105,000 tu.na tovuti yake itakuwa hewani kwa miaka mitatu.Huduma zingine kama email,na designing zitakuwepo kwa gharama nafuu na malipo kidogo kidogo.
Tuwasiliane kwa email:blog4moneytz@gmail.com au sales@appserver.pw au Tuwasiliane PM