elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
Tulikuwa tunatambika, si unaelewa chombo kipya.Ahaa sawa..
Lakini naomba kujua mda ule mh aliingia mle ndani na baadhi ya wengine kule ndani walikaa huko sana hivi walikuwa wanafanya nini
ThanxView attachment 1246099
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26 ameongoza Watanzania kupokea ndege ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Ndege hii mpya imesajiliwa kwa usajili namba 5H-TCJ na imepewa 'Brand Name' ya RUBONDO ISLAND, visiwa vilivyopo mkoani Mwanza. Visiwa hivyo vina ukubwa wa kilometa za mraba 456.8, vikishabihiana na ukubwa wa Manispaa ya Kinondoni iliyopo Dar es Salaam.
Ndege mpya ya Air Tanzania, Boeing 787-8 ina uwezo wa kutembea kilometa 13620 sawa na saa zaidi ya 12 hewani bila ya kusimama. Inabeba lita 101,000 za mafuta na ina ukubwa wa mita 56.72, yaani ni sawa na nusu ya Uwanja wa Mpira wa Miguu.
Boeing 787-8 inabeba jumla ya abiria 262, ina uwezo wa kubeba uzito wa tani 227 yaani 227,930Kg wakati wa kupaa, uzito huo hujumuisha uzito wa chombo, mizigo na mafuta. Inapotua Inatakiwa iwe na tani 172 za uzito kutokana na kupungua kwa kiasi cha mafuta.
Sifa nyingine kubwa ya ndege hii ina uwezo mkubwa wa kuhimili hali nzito ya hewa, ikiwa kwenye umbali mrefu kwenda juu.
Ni ndege kubwa na uko poa sana .View attachment 1246099

Ahaa sawa..
Lakini naomba kujua mda ule mh aliingia mle ndani na baadhi ya wengine kule ndani walikaa huko sana hivi walikuwa wanafanya nini
Dar -Chato kumpeleka mzee holidayRUBONDO ISLAND inaenda Route ipi??
Tuna mbuga kubwa kabisa Tanzania ya Ruaha, lakini mpaka leo hakuna barabara ya lami kuelekea kwenye hifadhi ni vumbi tu. Naamini nguvu ingewekezwa kwenye vitu kama hivi faida ambayo tungeipata ingekuwa maradufu ya hizo ndenge. Hapo serikali ingepata faida na wananchi wengi wangepata huduma bora ya usafiri wa barabara. Hayo ndio Maendeleo.Nampongeza Mh Rais kwa kutumia kodi vizuri kutuletea Maendeleo