Usichokijua kuhusu ndege mpya iliyopokelewa leo na Rais Magufuli

Nyie washamba, nadhani mngefanya utafiti kwanza ili kujua kwa nini mashirika mengi ya ndege duniani yalifilisika likiwemo ATC? badala ya kuendelea kuimba mapambio kuabudu na kusujudu jiwe?
 
Nyie washamba, nadhani mngefanya utafiti kwanza ili kujua kwa nini mashirika mengi ya ndege duniani yalifilisika likiwemo ATC? badala ya kuendelea kuimba mapambio kuabudu na kusujudu jiwe?
Sielewi kwa nini kipaumbele kikubwa kinaenda kwenye high risk business kama ya ndege, wakati kuna sehemu nyingi tu zenye low risk na good retuns tunaweza kuwekeza.

Hususan kwa sababu fedha zetu za kigeni ni chache na inatubidi tutumie kwa mahesabu sana.

Hii ni sehemu ambayo serikali ilitakiwa kujenga capacity kwa private sector, kujenga mazingira ya biashara mazuri, na kuachia private sector ishamiri bila serikali kuingilia sana.
 
Hilo ni wazo zuri watapita hapa na kuusoma huu Uzi mema watachukua hongera mkuu
 
ina ukubwa wa mita 56.72, yaani ni sawa na nusu ya Uwanja wa Mpira wa Miguu.


Hapa panahitaji maelezo zaidi, ingeeleweka zaidi ungesema urefu wake na upana wake na kimo chake

ina uwezo wa kubeba uzito wa tani 227 yaani 227,930Kg wakati wa kupaa, uzito huo hujumuisha uzito wa chombo, mizigo na mafuta. Inapotua Inatakiwa iwe na tani 172 za uzito kutokana na kupungua kwa kiasi cha mafuta

What if imeruka na hizo 227 na ikatakiwa kurudi kutua kwa dharura, atazipataje hizo 172
 
Je unaweza kutupa % ya wantanzania wanaopata maji safi na salama?
 
Hii ndege itamsaidiaje mwalimu ambaye hajalipwa mshahara mpya kwa miaka minne hapohapo akisukumiziwa makato ya bodi ya lazima kwa asilimia nane zaidi nje ya mkataba
 
Magu mmnamsifia kijinga kwasababu ameumiza watu wengi Sana kwaajili ya hizo ndege kila rais angeweza maana umeumiza watumishi wa umma kwa four yrs halafu mnamsifu stupid
 
Angenunua hizo ndege halafu taifa halina malalamiko ningemuelewa Sasa ametia watumishi umaskini halafu mnamsifu pmbaf kabisa
 
Ni ndege ya kwanza kupatikana kwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Hata Trump alipoiona alitamani kubadilishana na Air force one pamoja na kuongeza vidola kidogo kama USD trilioni moja. Inaelezwa kuwa Magufuli amekataa ofa hiyo! Ama kweli Mungu anshukuru tuu maana hakuna namna.
 
Huku nilipo tunakunywa maji machafu,maana hakuna mengine,hatuna hata mabomba ya maji safi....tumechimba tu mashimo mvuha zikinyesha kama hivi tunahifadhi maji kwenye mashimo yakiidha ndyo basi tunaenda umbali wa km nying kuyatafuta

Halafu leo tumeletewa au mmejiletea!

Hayo mabilioni si mngeyaleta kwa sisi tuliowachagua? Tupate huduma zinazostahili.....

Tumalize mambo muhimu kwanza halafu ndyo haya yafuate

#nawaza tu kwa sauti
 
Hayo mandege yaone kama Hospital, kinachotakiwa yawepo hata kama hayaleti faida kama zilivyo hospital za serikali
 
Hayo mandege yaone kama Hospital, kinachotakiwa yawepo hata kama hayaleti faida kama zilivyo hospital za serikali
Tatizo si tu hayaleti faida.

Ingekuwa hayaleti faida ingekuwa rahisi kuyaacha tu.

Tatizo yataleta hasara kubwa sana, kwa fedha za kigeni, kwa nchi ambayo haina fedha nyingi sana za kigeni.
 
Hivi baada ya ile route ya south Africa kufa tumepata route gani nyingine baghosha
 
Tatizo si tu hayaleti faida.

Ingekuwa hayaleti faida ingekuwa rahisi kuyaacha tu.

Tatizo yataleta hasara kubwa sana, kwa fedha za kigeni, kwa nchi ambayo haina fedha nyingi sana za kigeni.
Fallacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…