Usichokijua kuhusu Shilole alipokuwa Belgium

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Kumbe alizua kizaazaa pale alipoingia katika moja ya hotel za nchini humo! kama kawaida kwenye hotel kubwa lazima upewe menu ambayo ina kila k2 kinachopatikana katika hotel hiyo. Kumbe mwenze2 ngeli inazngua akakodolea ile menu kwa dakika kadhaa.

Bahati nzur kapita muhudum akiwa kabeba tray ya mayai, mara mwenze2 akasema "oooh! yes! i want the mother of this" kumbe alikua akimaansha kua anataka kuku.. hahaha!

Hivi kwel anashndwa kutafuta mwalimu hata akawa anamfundsha ka tution ka usiku kama chibu, mbona sa hv ameelewa!
 
Mmmmmm, Sidhani kama Yuko zuzu kiyasi hicho ..
 
Acha majungu mkuu... Kila mtu na maisha yake utakuwa mchawi uzeeni ndugu!!
 
wakati wote yote hayo yanatokea ww ulikua wapi....?
 
Naomba nikujulishe kwamba wasanii wetu wa jukwaani, kuanzia movie mpaka muziki ni watu waliojaa maringo na kutojitambua.Wanakipenda sana kiingereza na wanajiona wanakifahamu vizuri, hawahitaji mtu wakuwafundisha kiingereza!
 
Hayq majungu sasa...

Ingawa yule demu kweli hajitambui!
 
Hiyo ''mother of this'' ni kopi na pesti.
Hamna jipya hapa.
 

Hen , unajua uko la pili tu?!
Una utqni naye??!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…