Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Sungura, panya na
Jamii zao huwa na
mwendo wa kukimbia
na kuruka muda wote
na umri wao wa kuishi
ni miaka 15.

Kobe ni mnyama mwenda pole,
asiye na papara wala
pilika, muda mwingi
hujificha na kupumzika
ndani ya jumba lake
akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe
hufikia hadi miaka 300.

MAZOEZI NI KIINIMACHO NA UONGO
MTUPU.
JIPUMZIKIE NDUGU.
 
Hii ni kweli kabisa!
Duh afadhali
I hate gyms walahi
 
Tuna jifunza mengi kutokana na uumbaji wa Mwenye Enzi Mungu hakika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…