Usichokijua kuhusu Yusuf Manji

sio rahisi km unavyofikiria acha umbumbumbu
 
Kama wao ni wanajiona ni matajili na wanamapenzi kweli ya mpira kwanini wasifanye kama Azam wao wanashindwa nini?
Kwanini tusiamini kwamba wao ndio huwa wanahujumu timu ufanye vibaya ili wao wapate page kuingilia kuja kupiga deal.
 
pessimistic ideas
 
Wewe umefanya chochote katika jamii yako, acha umbea mambo yasiyokuhusu na usiyoyajua usililete kiherehere cha kuanza kuchangia, mazuri ni mengi kuliko huo upande unaousema wewe, are you asset or liability around your community?
hunijui na wala sina haja ya kudhibitisha chochote kwako, poor mind
 
Mwacheni apewe club acheni wivu wa kike nyie watoto wa kiume! Club ulichangia ngapi!

Huna hela kaa kimya!
 
HAWA NI RAIA WA KUZALIWA NA KUKULIA NDANI YA TANZANIA.ACHA UBAGUZI WA RANGI
 
Kama wao ni wanajiona ni matajili na wanamapenzi kweli ya mpira kwanini wasifanye kama Azam wao wanashindwa nini?
Kwanini tusiamini kwamba wao ndio huwa wanahujumu timu ufanye vibaya ili wao wapate page kuingilia kuja kupiga deal.
Embu funguka kuna kitu unaonekana unakijua mkuu
 
Kwa sifa hizo ulizompa, basi tu na agombee urais sasa, ndicho kilichobaki.
 
Unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili bro?!
 
Kama wao ni wanajiona ni matajili na wanamapenzi kweli ya mpira kwanini wasifanye kama Azam wao wanashindwa nini?
Kwanini tusiamini kwamba wao ndio huwa wanahujumu timu ufanye vibaya ili wao wapate page kuingilia kuja kupiga deal.
Azam amefanyaje?!
 
Mimi sio mpenzi wa ligi zetu, na haitatokea nishabikie timu yeyote hapa kwetu....lkn mitanzania bana hainaga shukurani hata ifanyiwe mema gani itabaki kulalama tu,na kuchongosha midomo ndio maana maendeleo hakuna huo ndiyo ukweli halisi.

Ukweli ni kwamba Manji kaisimamia yanga vilivyo, hapo mwanzo haikuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…