Usichokijua kuhusu Yusuf Manji

Keshapewa bahasha ya khaki huyu mkuu.
 

Acha ubaguzi wewee,haya mambo yashapitwa na wakati, toa hoja na sio unaongea ka umenyeshwa wiski
 
Mkuu Black Panther asante sana kwa kuwa neutral na mkweli kuliko panya wengi kwenye uzi huu
 
Nkiripoti live kutoka kwenye PR office ya Quality group ni mimi Sunil gok wa FixTV
 
Duh...! thanx for the info brahhhhhhh!!! Hata mimi mtu wa Simba imenigusa hii. Hadi EBOLA.
 
Amekupa tsh ngap au ndo zile zile lak lak ...njaa mbaya sana. Unaweza jikuta mwanaume unatembea unamsifia mwanaume mwenzio kwa kukulishia familia yako kama taahira.



 

Kwa sasa unafikiri kiongozi gani mwenye vision ya kuipeleka yanga mbele?...mm simuoni hata mmoja kwa sasa ni bora manji apewe timu sio kila kitu unachokisikia ni kweli...akili za kuambiwa changanya na zako.
washabiki wengi wa simba wanataka mamni asuse ili tusifanye vizuri wapate cha kusema....nasema hvi mwacheni Manji na yanga yetu.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Amekupa tsh ngap au ndo zile zile lak lak ...njaa mbaya sana. Unaweza jikuta mwanaume unatembea unamsifia mwanaume mwenzio kwa kukulishia familia yako kama taahira.
Mimi ni shabiki namba 1 wa Yanga. Ningekua nalipwa wala nisingekuja hapa jf mkuu
 
Ukweli upo pale pale... Mpira bila hela uendi mbele! watu ambao wapo tayari kutoa hela ni wachache, sasa awewezi wakawa wanatoa tu bila kupewa nguvu Fulani zakuhakikisha hela hizo zinatumika sawasawa! Mtu kama Huyu anavyojitolea, ni haki kabisa kupewa Yanga kwa mda. kama Yanga wataona aina faida kwao si watairudisha timu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…