Usichokijua kuhusu Yusuf Manji

Sawa kabisa mkuu.
 
Mpaka huko ulaya sasa timu zinaendeshwa na matajiri na mifano iko wazi.man city ya miaka ya nyuma kabla ya 2010 ilikuwa timu ?
 
Wanaodai sijui akifa inakuwaje kwani MO atakapochukua 51% Simba na akifa ghafla itakuwaje ?
 
Mpaka huko ulaya sasa timu zinaendeshwa na matajiri na mifano iko wazi.man city ya miaka ya nyuma kabla ya 2010 ilikuwa timu ?
Ukiwaeleza hawa mama mikia wanajawa povu mzee wanajua ni laini kama sufi
 
Njaa inakusumbua. Hebu tuelezee na mke wake pia tumfaham na mtoto wake wa kwanza. Ukiwa na njaa unapoteza muda mwingi sana kumueleea anayekulisha kuliko hata wewe mwenyewe unavyojijua.njaa mbaya sana. Manji anacheza tu na sehem hiyo...kuwapandikiza uhitaj...na kwa kuwa kuna kundi kubwa la watu ambalo linanjaa na hivyo kuamua kuingiza mkia katikat ya miguu...basi hapa mtaleta mapambio mengi ya kumsifu manji



 
Njaa ya chakula ni bora sana kuliko njaa yako ya akili mkuu. Mbona unalialia.Tulia uzae.Utaua mtoto.
 
Wapigaji wanaoishi mjini kwa kuitegemea Yanga na mikia ndio wanaochukia manji kupewa timu kwa miaka 10,mikia roho itawaumaje wakati wanajua Yanga chini ya manji inaenda kupotea!hapo ndio ilibidi wafurahi km c unafiki kitu gani!
 
sana kaka. Watu wamejawa chuki za kijinga tuu wakati hawajawahi changia hata kumi
Na timu ikifanya vibaya ndio wapiga kelele. Hawajui gharama za uendeshaji. Hata wakiambiwa wachangie japo mia tank hawatatoa. Tangy Manji aingie yanga haijawahi kukwama kwenye jambo lolote linalohitaji fedha. Hapa ninahofu kuna watu wanahitaji kupiga fedha watakazopata Yanga toka caf. Kizuizi hapo ni manji
 
Umepewa kiasi gani uje kumsafisha hapa ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…