kila kitu kina faida na hasara, so hayo unayoeleza ni madhara ya technologia ya simu za mkononi!.........kwa kifupi mtu anatumia simu yake ya mkononi kwa vile atakavyoona yeye inampendeza, na kinachompendeza mwingine katika kutumia simu yake kinaweza kusikupendeze wewe! shanagzi yangu!........hivyo hivyo suala la pornograph si hata kwenye tv na computer watu wanaangalia hizo picha za ngono? hizo blue movies si zinauzwa kila kona huko mitaani? vipi kuhusu porn kwenye internet ? hata hapa JF si kuna jukwaa lina hayo mambo mkuu.......huwezi kuzuia matumizi ya simu kwa sababu watu wanabeep,au wanawatch picha za ngono.!!