demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuna hasira ambayo Eng Hersi Saidi anawasababishia mno watu kwa kuonekana kwenye kila tukio kubwa la Klabu.
Muonekano wake unasababisha kero na chuki hasa kwa wale wasio #WANANCHI.
Kama wewe ni mmoja wao, basi utachukizwa naye kwa muda mrefu sana.
Yanga SC wanaendesha klabu yao kwa namna ambayo timu kubwa. Za Spain. Zinaendesha timu zao.
Rais wa Klabu ndio anakuwa uso wa kibiashara na haiba kwa klabu. Yanga walijifunza hili kutoka kwa Wakufunzi wao Sevilla. Ni jambo jipya ndio maana linawakera wengi mno walio katika tasnia ya soka la Tanzania. Hawajazoea kuona mambo mapya.
Wengi mna mfahamu Fiorentino Perez lakini mtendaji mkuu wa Real Madrid hamumfahamu (labda ugugo ivi sasa)
Wengi mna mfahamu J. Laporta wa Barcelona lakini mtendaji mkuu wa Barca hamumfahamu (labda ugugo ivi sasa).
Yes wamechagua kuendrsha klabu yao kisasa zaidi.
Sisi simba bado hatujafikia hatua hiyo kubwa. Ndio maana kila mtu kwenye klabu yetu anajiitia ovyo ovyo waandishi wa habari. Yaani kiufupi hakuna utaratibu kama walio nao wenzetu Yanga.
Tusipo kubali kubadilika na kutamani kuwa. Kama yanga sc basi siku zote tutamuonea wivu Eng Hersi Said na Yanga SC yao!