Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Ndio kipi hicho?Pia usifanye kilimo cha simu
Kama upo karibu na mto unda scheme yako.Njombe wamejiundia mifumo ya umwagiliaji ya kienyeji hivyo hulima viazi mviringo muda wote.Sasa hivi wakulima wa parachichi wanachimba visima kwa ajili ya kumwagilia parachchi.Kuna mikoa ina maji sana Ila watu wanasubiri serikali iwapelekee mifumo.Sasa kuna pampu za bei poa, saa moja heka inakuwa chepe thanks to Chinese pumpKuna watu wanatoboa kwa kutegemea mvua hiyohiyo.
Kuna maeneo hakuna irrigation scheme inayofanya kazi hata moja lakini watu wametoka hivyo hivyo hasa lake zone.
Kama upo zako mjini ndo ukurupuke kwenda kukodi majaruba/mbuga kiangazi likely utaambulia maeneo ambayo hayana historia ya mkondo wa maji na uwezekano wa kuumia ni mkubwa.
Schemes za umwagiliaji ambazo ni 100% efficient ni chache mno kulingana na mahitaji.
Heka hamsini za mpunga uzihudumie kwa pump si mchezo tena huko Shy wanakolima kwenye majaruba kina cha kiuno.Kama upo karibu na mto unda scheme yako.Njombe wamejiundia mifumo ya umwagiliaji ya kienyeji hivyo hulima viazi mviringo muda wote.Sasa hivi wakulima wa parachichi wanachimba visima kwa ajili ya kumwagilia parachchi.Kuna mikoa ina maji sana Ila watu wanasubiri serikali iwapelekee mifumo.Sasa kuna pampu za bei poa, saa moja heka inakuwa chepe thanks to Chinese pump
Heka hamsini za mpunga uzihudumie kwa pump si mchezo tena huko Shy wanakolima kwenye majaruba kina cha kiuno.
Kuna mazao ni rahisi kujitengenezea scheme mwenyewe mfano mahindi etc