Usidanganyike: Yanga ni Bora Kuliko Simba

Usidanganyike: Yanga ni Bora Kuliko Simba

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,491
Reaction score
2,104
Tukiwa tunaelekea katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 katikati na mwishoni mwa wiki hii na kwa kuwa ligi inaelekea ukingoni, si vibaya tukatupia macho yetu katika 'performance' za Klabu za Yanga na Simba ili kujua nani ni bora zaidi ya mwenzake.

Timu zote (Yanga & Simba) zikiwa zimecheza mechi 21: Yanga inaongoza ligi katika nafasi ya 1 huku Simba ikiwa katika nafasi ya 3; Yanga imeshinda mechi 14 wakati Simba imeshinda mechi 9; Yanga imetoa sare 4 huku Simba ikitoa sare 8; Yanga imepoteza mechi 3 wakati Simba imepoteza mechi 4; Yanga imefunga magoli 39 wakati Simba imefunga magoli 27; Yanga imefungwa magoli 12 wakati Simba imefungwa magoli 15; Yanga ina uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa wa 27 wakati Simba ina uwiano wa 12; Yanga ina pointi 46 wakati Simba ina pointi 35.

Wakati Yanga ikiwa 95% confident kuchukua ubingwa wa Bara mwaka huu; hadi sasa Yanga imetwaa ubingwa mara 24 wakati Simba ikitwaa mara 18.

Jedwali lifuatalo ni muhtasari wa data hizo hapo juu kwa wale wenye allergy na Ungwini:

All Time Trophies

[TD="colspan: 11"]
VODACOM PREMIER LEAGUE 2014/2015
[/TD]

[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 39, bgcolor: transparent"]
Rnk
[/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: transparent"]
Team
[/TD]
[TD="width: 63, bgcolor: transparent"]
MP
[/TD]
[TD="width: 36, bgcolor: transparent"]
W
[/TD]
[TD="width: 37, bgcolor: transparent"]
D
[/TD]
[TD="width: 36, bgcolor: transparent"]
L
[/TD]
[TD="width: 45, bgcolor: transparent"]
GF
[/TD]
[TD="width: 36, bgcolor: transparent"]
GA
[/TD]
[TD="width: 36, bgcolor: transparent"]
+/-
[/TD]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]
Pts
[/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]

[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 39"] 1
[/TD]
[TD="width: 5"][/TD]
[TD="width: 154"] Young Africans SC
[/TD]
[TD="width: 63"]
21
[/TD]
[TD="width: 36"]
14
[/TD]
[TD="width: 37"]
4
[/TD]
[TD="width: 36"]
3
[/TD]
[TD="width: 45"]
39
[/TD]
[TD="width: 36"]
12
[/TD]
[TD="width: 36"]
27
[/TD]
[TD="width: 31"]
46
[/TD]
[TD="width: 73"]
24
[/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]

[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 39"] 3
[/TD]
[TD="width: 5"][/TD]
[TD="width: 154"] Simba SC
[/TD]
[TD="width: 63"]
21
[/TD]
[TD="width: 36"]
9
[/TD]
[TD="width: 37"]
8
[/TD]
[TD="width: 36"]
4
[/TD]
[TD="width: 45"]
27
[/TD]
[TD="width: 36"]
15
[/TD]
[TD="width: 36"]
12
[/TD]
[TD="width: 31"]
35
[/TD]
[TD="width: 73"]
18
[/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]

[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 202, colspan: 3"] TOFAUTI (Yanga – Simba)
[/TD]
[TD="width: 63"]
0
[/TD]
[TD="width: 36"]
5
[/TD]
[TD="width: 37"]
-4
[/TD]
[TD="width: 36"]
-1
[/TD]
[TD="width: 45"]
12
[/TD]
[TD="width: 36"]
-3
[/TD]
[TD="width: 36"]
15
[/TD]
[TD="width: 31"]
11
[/TD]
[TD="width: 73, bgcolor: transparent"]
6
[/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: transparent"][/TD]

Adapted from: Tanzania Premier League: Standings - World Match Centre - FIFA.com (All time trophies added).

Kwa data hizi ni dhahiri kuwa Yanga ni bora kuliko Simba hivyo hakuna haja ya kudanganyika!
 
Ulichosema ni sahihi kabisa mkuu, hata mashabiki wa mikia hasa wale waelewa kama kina Amavubi wanakubali wazi wazi
 
Last edited by a moderator:
Ulichosema ni sahihi kabisa mkuu, hata mashabiki wa mikia hasa wale waelewa kama kina Amavubi wanakubali wazi wazi
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?
 
Last edited by a moderator:
Tukiwa tunaelekea katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 katikakati na mwishoni mwa wiki hii na kwa kuwa ligi inaelekea ukingoni, si vibaya tukatupia macho yetu katika 'performance' za Klabu za Yanga na Simba ili kujua nani ni bora zaidi ya mwenzake.
Tupatie basi na matokeo ya head-to-head msimu huu, lakini kama unayo
 
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?

yaani mi sijui kama nitaangalia hiyo mechi nifah manake najijua, nafikiria hata JF nisiingie, hata redio nisisikilize nije tu nipate matokeo mpira umeishaisha. Yaani kifupi nisisikie chochote hadi filimbi ya mwisho. Kweli kwa sasa ndo mpango nilionao. Mechi yenyewe si Mei mosi au?
 
Last edited by a moderator:
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?

KOCHA .................................................................................................. MASHABIKI

attachment.php
..............................................
attachment.php
 
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?

yaani mi sijui kama nitaangalia hiyo mechi nifah manake najijua, nafikiria hata JF nisiingie, hata redio nisisikilize nije tu nipate matokeo mpira umeishaisha. Yaani kifupi nisisikie chochote hadi filimbi ya mwisho. Kweli kwa sasa ndo mpango nilionao. Mechi yenyewe si Mei mosi au?

Wakuu mito na nifah wala msiwe na wasiwasi, mwisho wa Waarabu umefika. Wanayanga tukae mkao wa kushangilia ushindi tu.
 
Last edited by a moderator:
yaani mi sijui kama nitaangalia hiyo mechi nifah manake najijua, nafikiria hata JF nisiingie, hata redio nisisikilize nije tu nipate matokeo mpira umeishaisha. Yaani kifupi nisisikie chochote hadi filimbi ya mwisho. Kweli kwa sasa ndo mpango nilionao. Mechi yenyewe si Mei mosi au?
Aaaaarg usifanye hivyo bwana mito!
Ila kama hujiwezi vumilia hivyo hivyo na endelea na mbinu yako hiyo nisije kukulazimisha tukakupoteza bure!
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya head-to-head msimu huu yana lowest priority maana tayari yamejumuishwa katika data zilizotolewa hapo juu.
Hapana mkuu, ukijua match played, points, goals etc bado haiwezeshi kuyajua matokeo ya head-to-head. Nimeomba tu, kama yapo nipatie kwa kuwa kuna wakati Angola iliwahi kuqualify for WC just b'se of Head-to-Head favorite over Nigeria. While Nigeria ilikuwa na goal difference ya +14, Angola ilikuwa na goal difference ya +6 but qualified, so sometimes FIFA honors overall HTH winners.

So I didn't make a follow-up of the two rivals' Dar derbies. Just curious, what is their head-to-head results?
 
Wewe jamaa una wivu kama huyo mdudu hapo kwenye avatar yako!
Nipo DRC huku, sina wivu saana na timu za Dar, but I know Simba (and most of Lubumbashi soccer fans) just of Samata (previously Simba player). Hiyo avatar ni honey badger, ana wivu ndio lakini si kwa vilabu vya kabumbu, bali kwa mkewe mrembo!
 
Hahahaaa,na hila je?
 
Back
Top Bottom