Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jamani wazazi wenzangu tuwe makini na hawa wadada wa kazi wa majumbani, hapa Tabata Kimanga karibu na kanisa la Anglikana kafariki mtoto wa miezi sita, na msichana wa kazi kakiri na kusema kwamba yeye ndo kamnyonga, baada ya kumnyonga akaenda kumlaza chumbani kwa mama yake kimya akamwekea na net vizuri baada ya hapo akachukuwa sim na kumpigia bos wake kuwa awahi kurudi mtoto anajisikia vibaya.
Basi yule bosi akampigia jiran naomba uende hapo kwangu naambiwa mtoto anajisikia vibaya alipoenda msichana alimjibu hajambo kalala na yy akarudi muda si mrefu mama was mtoto ambaye ndo bos akawa amefika na kumkuta kweli kalala, msichana akapenyeza mkono akimwangalia homa akaona Hana homa mda huohuo msichana akamfuata akamwambia Dada oga halafu ule ili Abby akiamka ukae naye kwa uhuru Basi boss akaona kweli akaoga akala baada ya hapo akaenda kumwamsha Abby akimwita jina lakini mtoto hakuamka akamshika mkono akaona kalegea akapiga ukunga majirani wakamkimbilia wakamchukuwa mtoto hadi Amana hospital wakapokelewa doctor akawaambia mtoto mbona anaonekana kafariki muda tuu Basi mama mtu akampigia sim ndugu zake.
Mama yake mdogo akawa amewah nyumban kwenye msiba alipofika akamwita msichana na kumhoji Abby kafanyaje Dada bila kuogopa akasema nimemnyonga mwenyewe baada ya kufa nikaenda kumlaza chumbani kwa mama yake, akamwuliza kwa nn umefanya hivyo akajibu alikuwa anataka damu na hata hivyo damu aliyoipata Ni ndogo haitoshi Basi mama mdogo akaona baba wa mtoto akifika atamwua msichana na bahati nzuri alimrekodi wakati msichana akimwelezea mama mdogo akamwambia ingia ndani ya gari utupeleke Kimanga stend tukanunue vitu tuje tupike baada ya muda kidogo lakini Dada akaingia akaondoka naye hadi Tabata police walivyofika pale wakamshika mkono hadi ndani wakatoa maelezo, police wakamhoji Dada wa kazi hakupindisha maongezi kaeleza jinsi alivyomweleza mama mdogo
Wakaamwuliza Ni mara ya ngapi umefanya kitendo kama hiki akajibu Ni mara ya pili, kwa mara ya kwanza aliuwa ila hakushtukiwa na ilikuwa kigambon naye alikuwa Ni mtoto, baadae akasema ana vitu vyake kwenye begi huwa anavifanyia kaz wakaja na maaskari hadi nyumbani kufika nyumbani wakafanya upekuz kwenye begi la Dada wa kazi kilichokutwa Ni ma hirizi, mavitambaa meusi na mekundu pedi zilizotumika yaani vitu vya ajabuajabu vya kishirikina Basi wakaondoka naye
Leo tumempumzisha mtoto wetu Abigael makaburi ya Makuburi jeshini baada ya uchunguzi kufanyika na kuonekana mtoto alikabwa shingoni. Wazazi tuwe makini na hawa wadada na kumwomba Mungu.
Msichana anaitwa Mariam Ni mkazi wa Gairo