wiz kid ana nyota ya kimataifa na connection n urafiki wke na chris brown unambeba tofauti na davido hata R.kelly kwny album yke ya mwaka jana the buffet aliweka wimbo wke aliomshirikisha wiz kid unaitwa i just want to thank youKila mtu leo anatambua kwamba WizKid ndio msanii bora Africa ushahidi ni one dance ya Drake ambayo leo inasumbua Billboards ambayo kamshirikisha wizkid
Ila followers wa wizkid hawafiki milioni mbili(2mil), Our fav son and BET Nominee Diamond Platinumz anafollowers milioni mbili na kazalika
Bongo ndio king of social media kwa africa nzima huu ndio ukweli mchungu ambao some of us judgemental tz hatutaki kuukubali
haaah yupo ile sehemu anaimba km bridge sema anasound km muhindi [emoji23] [emoji23]Wizkid ameimba wapi kwenye one dance??? Nimeona jina tu ila sijasikia alichoimba mule
haah kibiriti fitina yule wiz kid hata mwaka jana hakuomba kura akafanya hadi stonebwoi ababe tuzo na hata kwny tuzo hakutokea akasema hawezi enda kwny.tuzo zinazotolewa backstageJamaa wizkid yani kama hajui kuna tuzo za BET maana simuoni kuamasisha watu kumpigia kura....nafikiri yeye anatazama hela tu
mkuu twitter wa Tz wakafanye nn kule uwezi twitt umbea umbea ni wachache sana tupo kuleHahaha
Ila gap lilioko kwny twitter si umeliona!!?
Insta - diamond
Fb- wizkid
Twitter-wizkid
2-1 nadhan point yangu imekuwa valid hapo
kule twitter usije jaribu "kumchokonoa" mkenya.maana wapo wengi sana,watakufanyia cyberbullying mpaka utatoka "balu".Hiyo mitandao inatokana na nchi tuu
Wakati watanzania wengi mkiwa mko insta
Wakenya wengi wako twitter, na angalia wasanii wetu hawako na followers wengi wa twitter
Twita sio maarufu sana kama insta na fb....
Le mutuuuzzzzKing of all social media ni willy Malecela tu
haah kibiriti fitina yule wiz kid hata mwaka jana hakuomba kura akafanya hadi stonebwoi ababe tuzo na hata kwny tuzo hakutokea akasema hawezi enda kwny.tuzo zinazotolewa backstage
ila ndo kawaida yke hata mtv haombagi kura
Hao wanaijeria wako milioni mia nne(400mil) mbona hizo account fake hawana?
dharauJamaa wizkid yani kama hajui kuna tuzo za BET maana simuoni kuamasisha watu kumpigia kura....nafikiri yeye anatazama hela tu
Wa Tz tuhangaike na kijana wetu tu kumuombea anyanyue kwapa maana lile nunda la manunda Starboy hata muda hana ni kupoteza muda kumjadili maana hata BET wanamjua Wizkidayo kua hana shobo nao na sidhani kama ataenda kwenye sherehe zenyewe maana mwaka jana aligoma na akasema awards zinatolewa kibaguzi maana washindi toka Africa wanapewa mchana jukwaa tofauti na wengine kwake hii dharau kubwa anataka jukwaa moja na Beyonce.
Yupo sawa kabisa kama wamekumbuka uwepo wa waafrika kwanini wanawapa backstage wasanii wote wangekuwa kama huyu wangeheshiwa sana
Starboy anachofanya ni kujipa thamani yeye mwenyewe wakati wasanii wengine ile nomination tu kwao ni sherehe sidhani kama watapata ubavu kuongea,ukweli BET wanadharau sana wasanii wetu ipo haja ya ndugu zetu kusimama na kujipa thamani.
Wa Tz tuhangaike na kijana wetu tu kumuombea anyanyue kwapa maana lile nunda la manunda Starboy hata muda hana ni kupoteza muda kumjadili maana hata BET wanamjua Wizkidayo kua hana shobo nao na sidhani kama ataenda kwenye sherehe zenyewe maana mwaka jana aligoma na akasema awards zinatolewa kibaguzi maana washindi toka Africa wanapewa mchana jukwaa tofauti na wengine kwake hii dharau kubwa anataka jukwaa moja na Beyonce.
instagram ni hapa bongo tu maarufu tena kwa mataahira na watu wasiojielewa...Powerful social network kwa sasa ni instagram