Usidharau power ya Instagram followers

Wizkid waga hajisumbui kuomba kura wala kujipa promo, anaosnesha dhahiri anadharau kiasi gani hiz tuzo hadi kuziponda na wala sio yeye 2 ata fuse ODG nae alishaziponda japokuwa alikuwa winner

so ata wao Bet wanajua kabisa kumpa tuzo wiz ni sawa na kujishusha kwa dogo hivo sizani km wanaweza kumpa, ispokuwa wataangalia msanii mwenye nia nayo na kuonesha anahitaji, hizo sifa kijana wetu mondi anazo hivo ana nafasi kubwa ya kupata pamoja na casper
 
Reactions: ora
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…