Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 528
- 822
Mpagani anaamini Mungu, mimi si mpagani.Mzee usiniletee mada zako za kipagani
Wewe ukisikia Mungu kwanza unaelewa nini?Thibitisha Mungu yupo.
Utajua mwenyeweMpagani anaamini Mungu, mimi si mpagani.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
WA KILA KITUMungu ni mjuzi
Binadamu wa sasa hivi wanataka kutukuzwa..Naunga mkono hoja kuna watu sasa hivi nawaona kama mawe .Napita tu siongei chochote,wakiniuliza nakaa kimya tu,sijibu.'Nimezaliwa peke yangu na nitakufa peke yangu ,hata siku ya mwisho hukumu ni juu yangu '-Hili goma sijui msanii gani alichonga hii mistari.
Ndo kitu Cha msingiššAsikupande raia kichwani ukamtukuza kisa ana chambi(pesa),tambua pesa zake ni za kwake kivyake,wewe tafuta zako ndugu.
Nasema hivii, umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.Vijana wa ovyo sana
Sijawahi kuwa chawa,nimezaliwa wa kiume nitakufa kiume,shida ni zangu kivyangu sina tabia ya kulia kwa mtu..Ndo kitu Cha msingišš
Naomba nikuulize swaliUmeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.
Maskini,siku hiyo mtashindwa hata kumtamka Kwa dharau mnazozionyesha dunianišNasema hivii, umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.
Uliza.Naomba nikuulize swali
WAZAZI MUNGU WA PILI.ILA HAO WENGINE WALIOBAKI KWANGU SIO KITUWAZAZI TU NDIO HUWEZI KUWAPOTEZEA HATA WAKUSEME VIPI INGAWA MISEMO YA WAZAZI MTU MJINGA ANAWEZA KUONA DHARAU ILA NI UKWELI MTU AFTER WATU HAO AMBAO NI MUNGU WA PILI DUNIANI MTU MWINGINE YOYOTE MNAWEZA MKATOFAUTIANA MAWAZO NA FIKRA YAKINIFU
Bado hujathibitisha Mungu yupo.Maskini,siku hiyo mtashindwa hata kumtamka Kwa dharau mnazozionyesha dunianiš
Wanajiona wamefika duniani tunapitaMaskini,siku hiyo mtashindwa hata kumtamka Kwa dharau mnazozionyesha dunianiš
Sawa mkuuBado hujathibitisha Mungu yupo.