Mpagani anaamini katika Miungu.Wapagani on mic test 123
Salamu"Nikupe salamu za kazi gani kwanza sikujui..."
Kwanza mbona una hasira sana mdogo wetu!!?
AtheistsWewe hujui hata mpagani ni nani, jielimishe kwanza.
AtheistMpagani anaamini katika Miungu.
Jina Mpagani linawakilisha mtu anaamini Miungu/mungu lakini asiyeamini katika Yesu kristo.
Refer ilikoanzia huko kwa warumi.
Mimi siamini katika Mungu yeyote.
Hivyo mimi si mpagani.
Umenipa jina la uongo.
Hivyo wewe ni Muongo.
Unaweza kuthibitisha Mungu wako huyo yupo?
Hapo unyama... Turudi Sasa kwenye mjadala!Salamu
Sawa mjombaHapo unyama... Turudi Sasa kwenye mjadala!
Wewe hata huelewi kwamba atheists si wapagani, huna elimu.Atheists
Kwa nini swali hili ni muhimu?Kabla hatujaingia kwa Mungu nataka kufahamu
Wewe ni nani?
Chama chenu kipo kenya juzi mlitoa 20k kuhamasisha watu kujiunga na chama cha watu wasio amini MUNGUWewe hata huelewi kwamba atheists si wapagani, huna elimu.
Sifagilii mtuStress za maisha hizi. Pole sana kijana.
Mimi sina chama, na wewe hujathibitisha Mungu yupo.Chama chenu kipo kenya juzi mlitoa 20k kuhamasisha watu kujiunga na chama cha watu wasio amini MUNGU
AiseeUmekula mchana?[emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa stress za maisha sili kwa baba yako,hunijui sikujui,eti stress za maisha kajambe hukoStress za maisha hizi. Pole sana kijana.
Acha kiranga na wanaume utapata mimbaMimi sina chama, na wewe hujathibitisha Mungu yupo.
Combination ya ushoga na utairaCombination ya ujinga na confidence ni kitu kibaya sana
Nmekwambia hapo awali wewe ni muongo.Watu wote wasiamiNI uwepo wa MUNGU
WANAJIHUSISHA NA USHOGA