Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 528
- 822
- Thread starter
-
- #61
Nyie vijana wa ovyo sanaNmekwambia hapo awali wewe ni muongo.
Thibitisha madai yako kuwa wasioamini Mungu wote wanajihusisha na ushoga,
jitetee kabla sijaweka conclusion hapa kuwa wewe ni muongo totally na habari ya Mungu unayetuambia hapa nayo ni uongo.
Ukishindwa pia ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo,
Hadithi zote unazofundishwa kuhusu Mungu huyo ni za uongo.
Kwasababu mafunzo ya uongo hayohayo yanakufanya uje kusema uongo kama ulivyoleta madai yako humu JF.
Huna unalolijua.Nyie vijana wa ovyo sana,
Nyie vijana wa ovyo sana
Amna mkuu niliuza tu maana nimeona ameandika kwa hasira sana😎Aisee
AminaSijawahi kuwa chawa,nimezaliwa wa kiume nitakufa kiume,shida ni zangu kivyangu sina tabia ya kulia kwa mtu..
Acha shoboutapata mimbaHuna unalolijua.
Ili kuitoroka Maze, utahitaji kusuffer more..
Usiwe mjinga, amka
Kauli zako tu ni uthibitisho kuwa Huyo Mungu hayupo.Acha shoboutapata mimba
Uongo wake unahusiana vipi na uwepo wa Mungu?Nmekwambia hapo awali wewe ni muongo.
Thibitisha madai yako kuwa wasioamini Mungu wote wanajihusisha na ushoga,
jitetee kabla sijaweka conclusion hapa kuwa wewe ni muongo totally na habari ya Mungu unayetuambia hapa nayo ni uongo.
Ukishindwa pia ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo,
Hadithi zote unazofundishwa kuhusu Mungu huyo ni za uongo.
Kwasababu mafunzo ya uongo hayohayo yanakufanya uje kusema uongo kama ulivyoleta madai yako humu JF.
Kuect ni nini?Kauli zako tu ni uthibitisho kuwa Huyo Mungu hayupo.
humwamini Mungu kabisa na umeleta thread hapa kuect ionekane kama kweli Mungu yupo.
Mkuu, lini Utaacha kuect?
Hivi unahisi mwijaku na baba levo ni wajinga??Nikupe salamu za kazi gani kwanza sikujui..
Aisee usije ukamshobokea mtu katika haya maisha:
Hata kama wewe ni masikini, kuwa masikini jeuri.
Sisi sote pua zetu zimeangalia chini, sote tuna share hii pumzi inamaana kwamba sio yetu..
Asikupande raia kichwani ukamtukuza kisa ana chambi(pesa), tambua pesa zake ni za kwake kivyake, wewe tafuta zako ndugu.
Kama haunipi salamu si force,na huwa sinaga tabia za kusalimu watu ovyo ovyo, najikubali sana.
Aisee mimi nakufa na kitu moyoni kimya kimya, sinaga tabia ya kumuambia mtu mambo yangu.
Nilizaliwa kivyangu nitakufa kivya gu, toka nizaliwe sijawahi mpigia mtu magoti ili iwaje sasa..
Sisi sote tunapitia yanini nikusujudie?
Usije mkamfanyie mtu mabaya, kumbuka alls around come around ni kama namba 8 ilivyo.
ONLY GOD CAN JUDGE ME
I BELIEVE ONLY GOD
Mangi shangali, mimi ndo mimi no one like me.
Kwahiyo unakubali kuwa mwenzako ni muongo?Uongo wake unahusiana vipi na uwepo wa Mungu?
Ngoma inaitwa peke yangu- adiliNaunga mkono hoja kuna watu sasa hivi nawaona kama mawe .Napita tu siongei chochote,wakiniuliza nakaa kimya tu,sijibu.'Nimezaliwa peke yangu na nitakufa peke yangu ,hata siku ya mwisho hukumu ni juu yangu '-Hili goma sijui msanii gani alichonga hii mistari.
Ngoja nilisake nilisikilize .Asante.Ngoma inaitwa peke yangu- adili
Umetumia kigezo gani kusema ni mwenzangu?Kwahiyo unakubali kuwa mwenzako ni muongo?
Unaelewa nini nkisema mwenzako?Umetumia kigezo gani kusema ni mwenzangu?
Unajua kusoma kwa umakini na uelewa?Naona unamuongelea Mungu mara hayupo mara yupo...
Mungu ni nini? au ni nani? Ukisikia hili neno/jina likitamkwa wewe unaelewa nini?
Hata hapo bado hujathibitisha Mungu yupo.Acha kiranga na wanaume utapata mimba
Huo ndio UANAMUMESijawahi kuwa chawa,nimezaliwa wa kiume nitakufa kiume,shida ni zangu kivyangu sina tabia ya kulia kwa mtu..
Mungu ni roho, kwa asili isiyoonekana..Unaelewa nini nkisema mwenzako?
Unaelewa muktadha nlioutumia hapo au huelewi?
Unajua kusoma kwa umakini na uelewa?
Umeona kauli yangu yenye utata kama huo ama umetengeneza wewe huo utata?
Unaweza kuverify hayo madai yako hapo.?
Mungu ni dhana iliyojengeka vichwani mwa walio wavivu na wazembe.
Mungu ni nini.
Nidhana ambayo ilijengwa ili kujibu maswali magumu ambayo mvivu wa kufikiri anakumbana nayo.
Kwahiyo Mungu ni kichaka cha kujificha/Kisingizio cha watu pindi wakiishiwa maarifa.
Mungu ni naniMungu ni mhusika mkuu wa kubuni katika hadithi za kale zilizoandikwa katika zama za giza na ujinga ili kushape jamii zao.
Hadithi kama vile epic of Gilgamesh, atrahasis, biblia (japo biblia imecopy baadhi ya hadithi za Atrahasis na zinginezo) , quran, greek mythology akina Thor, Zeus, Pseudo Athena, Mungu Nuwa (china) Juno Februata (Romania) na nyingine nyingi.
[emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532] [emoji3532]
Je Mungu wako ni nani, ama ni nini kutokana na tafsiri zilizoko hapo juu?
Naona typng error nyingu[emoji174]Mungu ni roho, kwa asili isiyoonekana..
-Mungu ni baba wa viumbe vyote (Yohana 4:24)
Mungu kwangu binafi naweza kumuelezea kwa namna nyingi
Naomba nikuulize swali lingine wewe ni nani??
Watu wote wasiamiNI uwepo wa MUNGU
WANAJIHUSISHA NA USHOGA
There are hundreds of stories about god,Mungu ni roho, kwa asili isiyoonekana..
-Mungu ni baba wa viumbe vyote (Yohana 4:24)
Mungu kwangu binafi naweza kumuelezea kwa namna nyingi
Naomba nikuulize swali lingine wewe ni nani??