Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Nov 4, 2011 #21 ni wachache wanaoweza kuchunguza yote hayo
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,973 Reaction score 9,572 Nov 5, 2011 #22 Bei Mbaya said: heshima yako mkuu Click to expand... Heshima yangu zikurejee wewe mkuu.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Nov 5, 2011 Thread starter #23 Mungi said: Ni kweli kwamba binadamu anabadilika kulingana na hali ya maisha, mahali, nafasi, uwezo, nk. Lakini kwa binadamu mwenye utu moyoni, na mwenye hofu ya mungu moyoni mwake, mazingira yoyote hayataweza kumbadilisha. Watch it out. Click to expand... Asante kwa kudadavua zaidi; Bahati mbaya kutoka na ugumu wa zoezi hili wengi tumelipuuzia na kulibeza kuwa si kitu muhimu sana. Shine said: ni wachache wanaoweza kuchunguza yote hayo Click to expand... Haraka inatokana na nini; kwa sababu kwa kutochunguza kwetu wengine wetu tumejikuta kwenye matatizo makubwa baadaye!
Mungi said: Ni kweli kwamba binadamu anabadilika kulingana na hali ya maisha, mahali, nafasi, uwezo, nk. Lakini kwa binadamu mwenye utu moyoni, na mwenye hofu ya mungu moyoni mwake, mazingira yoyote hayataweza kumbadilisha. Watch it out. Click to expand... Asante kwa kudadavua zaidi; Bahati mbaya kutoka na ugumu wa zoezi hili wengi tumelipuuzia na kulibeza kuwa si kitu muhimu sana. Shine said: ni wachache wanaoweza kuchunguza yote hayo Click to expand... Haraka inatokana na nini; kwa sababu kwa kutochunguza kwetu wengine wetu tumejikuta kwenye matatizo makubwa baadaye!