Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

Kama huwezi kufanya mazoezi acha wengine wafanye usitafute njia nyepesi ya kuwakatisha tamaa wenzako...
 
Kama huwezi kufanya mazoezi acha wengine wafanye usitafute njia nyepesi ya kuwakatisha tamaa wenzako...
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu alikufa akiwa kijana mdogo tu.Alikuwa anafanya mazoezi magumu mno ya kunyanyua vyuma na kitu inaitwa Sauna yule dogo alikata moto mapema mno usingizini.Msikilizeni Prof Janabi msimpuuze huwa anasema mazoezi mengine hadi upimwe na daktari.
 
Ripoti ya madaktari ilisema sababu ya kifo ni nini?
 
kwan mkuu unataka kunyanyua chuma hadi ukubwan πŸ˜‚
 
bar tena? kutembea sio zoezi
sasa mstaafu unategemea nikae tu nyumbani nisichangamane na watu na jamii.Ukistaafu ukiwa unakaa tu nyumbani unasubiri chai,ugali mchana na usiku unakufa haraka
Bar sina maana ya kunywa sana unapiga mbili za afya unarudi home na sio kila siku kwa wiki mara moja.
Unajua kwanini watu wanaostaafu hawaishi kukatiza miaka20 sababu ya mambo kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…