Usifikirie kukata tamaa tazama hizi picha

Usifikirie kukata tamaa tazama hizi picha

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
20240920_205945.jpg

20240920_205951.jpg
 
iyo ya kwanza Ahmed na Kamwe apo mwaka wa kwanza wote wakiwa Azam na yapili Mpoki na Joti walikua Ze Comedt kwahiyo picha zote walikua wamejipata
 
Hiyo picha ya George Ambangile ya kwanza siyo mbaya nayo
Doohhh kumbe huyo ndio George Ambangile???
Nilikuaga namkubali alipokua times fm, ndio alinifanya niwe nasikiliza michezo, alipohamia Clouds akili na ujuz ukapotea kama kopo yan debe tupu na radio nikaachaga kusikiliza mpaka kesho
 
Ambangile hajawahi fanya kazi Clouds
 
Wabongo bhana, yn picha za zamani ndo mnataka ziwe motivation speaker, kwahy mnataka Mtu awe vilevile kama alivyokuwa 2010 wakati sasa ni 2025?

Hapo sijaona mambo ya kukata tamaa zaidi ni kwamba inaonyesha utofauti wa miaka katika picha.
 
Back
Top Bottom