The622
Member
- Mar 5, 2023
- 55
- 111
Habari,
Kuna wakati tunashindwa kuamua kufanya maamuzi juu ya jambo au mambo yaliyopo Maishani.
Inatokea ipo biashara unataka kufanya, kazi unataka kuacha, safari unapaswa kufanya lakini yote hufanyi kwanza wewe, na badala yake unaamua kutafuta ushauri Kila sehemu.
Sisemi ushauri ni mbaya, lakini miluzi ikiwa mingi ni ngumu kujua uamuzi gani uchukue.
Usiingie kwenye mtego huu, ni rahisi kukatishwa tamaa na kutojua nini ufanye.
Muhimu pamoja kuwa utawashirikisha wengi,Lakini usiache nawe kuushirikisha moyo wako.
Ni rahisi kuambiwa huwezi kufanikiwa na ukafanikiwa,wapo wengi watakao kukukatisha tamaa hata kabla ya kufanya.
Usikubali kushindwa jambo hata kabla ya kulifanya,Bora ufanye ushindwe kuliko kutokufanya kabisa kisa tu Fulani kakwambia.
Muda ni sasa