Nipende kusema tu," kila neno likutokalo mdomoni, jaribu kilitafakari kabla halijatoka, maana siku ya mwisho utalitokes hesabu"
Kulitolea hesabu, inamaanisha utalielezea ulikuwa una maana gani. Ndugu zangu,kuna Roho ya Mpinga Kristo Yesu,inatembea katika jamii na dunia ,kuweni waangalifu usiingie katika mtego."Mtu anayesema hakuna Mungu hana akili". Wamejitokeza na wanajitokeza watu wengi, kwasababu zao binafsi za kukosa uelewa wanataka wafatwe kwa ujinga wao binafsi,wakiwa na kauli zisizona na akili yake.
UKISIKA MTU ANASEMA:
"MUNGU ni jambo kusadikika"huu ni ukosefu wa akili
" Mungu alimshindwa shetani ,akaamua atutupie sisi"mtego huu wa mjinga
" Mungu na Shetani ni wachezesha sinema" huu ni ujinga
"Hakuna Mungu ni mpango tuu wa Mwanadamu" kimbia uiponye nafsi yako
"YESU KRISTO hakufa" ziba masikio yako toka hapo
"YESU KRISTO au Mungu ni mambo ya kupiga dili" tafuta jambo jingine lakufanya achana na hilo
" Ndoa ,jambo aliloliweka MUNGU mwenyewe, "ndoa ni uwongo na ujanja" Toka hapo kalale hata itakusadia.
"MUNGU ni biashara" hapa kuwa makini,
Yapo Mengi watu wanaema wakikashifu na kuponda Mambo matukufu lakini ,niseme kuwa SIKUBYA MWISHO AU HUKUMU UTAKUWA WEWE KAMA WEWE" SI ALIYEKUSHAURI AU KUKWAMBIA ATAKUWEPO utahukumiwa wewe kama wewe.
Nipende tu kutoa angalizo, mfumo wa maisha tunaoishi jitahidi sana kukaa chini kutulia na kuisikiliza sauti njema ya Mungu iliyondabi yako ,ndio uamue ,USIFATISHE MKUMBO WA MTU ,WALA MTAALAMU BALI WEEE NA ALIYEKUUMBA
Ndani ya Dunia hii, wapo WATU ambao si WANADAMU na HAWAJATOKANA NA UZAZI WA KIBINADAMU,kizazi kiovu cha NYOKA kipo kati yetu na ndicho kinachopambana kuuzuia UFALME WA MUNGU ,lakini kimeshindwa.
Tudumu katika kujua MAKOSA MENGI TUNAYOYAFANYA NI SISI WENYEWE HASA, na tukikomaa tunakuwa wafuasi wa shetani, lakini hili lisiwe chanzo cha kupotea kwetu kwani yupo YESU KRISTO aliyekufa kwaajili ya maondoleo ya dhambi, tumwamini huyo ili tuwe na kweli na tujue nini MAANA YA KWELI.
AMANI IWE KWENU