Usifuge kabla ya kuwa na uhakika wa kutengeneza chakula cha mifugo mwenyewe

Usifuge kabla ya kuwa na uhakika wa kutengeneza chakula cha mifugo mwenyewe

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe.

Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa mno. Kuna wakati unatamani uchukue mahindi ya chakula cha watoto uyaparaze na kuyavunjavunja ili kutengeneza chakula cha mifugo.

Tafuta mashine ndogo tu , single phase au 3 phase. Utatengeneza chakula chako na bado utawahudumia wafugaji wengine na kupata pesa.

Mashine ya kawaida haizidi Million 1 ikiwa complete na mortor yake ndogo ya horse power 7 hadi 10 ( three phase).

Ukisikia mtu amefeli kufuga, kafeli kuhudumia chakula.

1644919304521.png

 
Hapa umetoa mchanganuo wa machine hujazungumzia jengo, gharama za huo umeme phase 3, nk. Wazo zuri Sana kujiandaa chakula kabla hujaamua kufuga.
 
Back
Top Bottom