Usifunge biashara, ukiona hali sio nzuri tuwasiliane kwanza

Usifunge biashara, ukiona hali sio nzuri tuwasiliane kwanza

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara.

Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email: dodomadaressalaam@gmail.com

Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka kuhusu masuala ya biashara bado tunaendelea kujenga Team zetu ili tuendelee kucheza kwa ufanisi kwenye game ya fedha na kuokoa biashara mbalimbali. Usajili bado unaendelea.

Email: dodomadaressalaam@gmail.com
 
Unakopesha??
Unatoa ushauri?
Unagawa pesa za kufufa mitaji??

Au ni kipi unachohusika nacho mkuu?
Unakopesha tia big X, unatoa ushauri tia somehow unagawa pesa tia big X square.

Kipi unachohusika? - TUNANUNUA BIASHARA YAKO
 
Ili baadae ujifanye ni yako!, na malumbano yaanzie hapo.
OK, good luck!
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
 
Back
Top Bottom