Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
821
Reaction score
587
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..

mkuyati.jpg

Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!
:israel:
 
aisee! mathematically hakuna kosa, lkn kiukwel 0/0 sio sawa 2
 
Kichwa wewe,nimekubali mkuu mie mwenyewe nina banda la olevo na advance lkn hii hesabu ingeniumiza kichwa.
 
kwani nani amebisha kuwa 0/0=2 hadi unataka sisi kuprove?

Ziko zero mbili unataka wana memba wapruvu nini!!!!
 
ndo maana niliachaga hesabu nikaenda kusoma biology. Kuna ujanja ujanja mwingi kwenye hesabu na physics. Mtu anakuambia asume there is no air.!!!?? Khaa?..

Haha, ndo hesabu hyo mkuu.. inaonekana simple ila tata!!
 
hapo kwenye 10-10=0...weka 0 kabla ya kucancel juu na chini then jaribu tena kama itakuja 2...nimejaribu coz nlipataga D
 
hapo kwenye 10-10=0...weka 0 kabla ya kucancel juu na chini then jaribu tena kama itakuja 2...nimejaribu coz nlipataga D

Kwani hapo zilipo haziwezi kukatika?? nataka concept behind
 
Mhhhh nimesoma hesabu toka s/m hadi chuo kikuu, lakini sijawahi kukutana na hesabu ilisolazimishiwa kama hiyo.
 
Back
Top Bottom