mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 587
Mimi nilipata F ya hesabu fom foo..
aisee! mathematically hakuna kosa, lkn kiukwel 0/0 sio sawa 2
not bad, mathalani umefungua shurti utoe jibu yakhe!!
ndo maana niliachaga hesabu nikaenda kusoma biology. Kuna ujanja ujanja mwingi kwenye hesabu na physics. Mtu anakuambia asume there is no air.!!!?? Khaa?..
kwani nani amebisha kuwa 0/0=2 hadi unataka sisi kuprove?
Ziko zero mbili unataka wana memba wapruvu nini!!!!
aliye toa hesabu anaumwa kama ni mzima basi hesabu iko kwenye dozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
kwanini na chini usifanye kama juu.
kwenye hatua ya 3 kuja ya 4 ndo pana kosa. Logically iko ok but mathematically no. Ulichokifanya ni sawa na 3x0 = 2x0 = 0
hapo kwenye 10-10=0...weka 0 kabla ya kucancel juu na chini then jaribu tena kama itakuja 2...nimejaribu coz nlipataga D
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel: