Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
Kosa lipo hatua ya nne,ulitakiwa kupata jibu la kwenye mabano ambayo sawa na (20)(0)/(10)(0) kabla ya kugawanya/kurahisisha (10-10)/(10-10).
Kabisaaaaa.... wengine tuna A za O-level na ni somo pekee lenye AMistake, numerator manipulation at step 3 and 4,
10[SUP]2_[/SUP]10[SUP]2 [/SUP]is not equal to (10+10)(10-10) uliyoichomekea kwenye step 4, thats the big mistake
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
hesabu ulisomea chini ya mwembe!10.10 - 10.10 = 0
0 = 1
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
Nilifaulu hesabu vizuri. Ukiacha kuangalia swali lilivyo assuming swali liko sahihi tatizo kwenye solution lipo kwenye 10^2-10^2 kuifactorize kuwa (10+10)(10-10).
Kimahesabu: a^2-b^2=(a+b)(a-b) LAKINI
a^2-a^2=0
kwa hiyo kwa kuwa base namba ziko sawa yaani 10 na exponent ziko sawa yaani 2, inamaanisha 10^2-10^2=0.
Kuna memba humu alijibu lakini hakuweka tu maelezo marefu.
Mistake, numerator manipulation at step 3 and 4,
10[SUP]2_[/SUP]10[SUP]2 [/SUP]is not equal to (10+10)(10-10) uliyoichomekea kwenye step 4, thats the big mistake
Nilifaulu hesabu vizuri. Ukiacha kuangalia swali lilivyo assuming swali liko sahihi tatizo kwenye solution lipo kwenye 10^2-10^2 kuifactorize kuwa (10+10)(10-10).
Kimahesabu: a^2-b^2=(a+b)(a-b) LAKINI
a^2-a^2=0
kwa hiyo kwa kuwa base namba ziko sawa yaani 10 na exponent ziko sawa yaani 2, inamaanisha 10^2-10^2=0.
Kuna memba humu alijibu lakini hakuweka tu maelezo marefu.
Hence Proved!Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
I havent looked how you came to the conclusion 0/0=2, I havent looked because you can do it several ways and still come to the conclusion 0/0=2. in reality 0/0 is undefined,you cant give the result 2 because 0/0 is actually equals to all numbers in the universe WHY? This is because if we say 0/0 = y then multiply by 0 throughout we get 0=0 x y, Now from here if we are looking for y,then y is any number which when multiplied by 0 will give 0,but any number in the universe multiply by 0 the result is 0 hence y is any number more mathematically -infinity < y < infinity